Sifa Moja Kubwa Ya Mtu Ambaye Hasamehi

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anayeishi anahitaji kusamehe na kusamehewa kwa sisi wote ni binadamu basi tuna udhaifu wa kibadamu. Tunahitaji huruma ya Mungu ili tuweze kusamehe kama yeye anatusamehe makosa yetu sisi ni nani mpaka tusiwasamehe watu wengine?. Katika familia nyingi na jamii yetu kwa ujumla msamaha unaotawala ni msamaha wa uongo kwa sababu …

Maisha Yako Yanakuwa Bora Ukiwa Na Hiki

Mpendwa rafiki, Tukiachana na pumzi tunayovuta basi kila kitu kinahitaji fedha na hata hiyo pumzi ni bure tu ukiwa mzima lakini ukiwa unaumwa unailipia tena kwa gharama kubwa. Kila mmoja wetu anapenda kuwa bora karibu kila eneo la maisha yake lakini kuwa bora kuna hitaji kitu ambacho kitakufanya uwe bora, huwezi kuwa bora kwa sababu …

Huyu Ndiye Mtaalamu Wa Kuhubiri Kwenye Maisha Yako

Mpendwa rafiki, Kioo huwa kinatusaidia kujiangalia kama kuna mahali hapako sawa tuweze kujirekebisha, iwe ni nguo, uso, mwili nakadhalika. Mara nyingi tunapovaa nguo na kabla hatujaondoka tuhakikisha kwanza kama tuko vizuri kwenye kioo na kioo huwa hakidanganyi kinatuonesha vile tulivyo kama ni wachafu au wasafi kitasema. Kioo kinakuja kuonekana hakina maana kama mtumiaji amejiangalia na …

Ongozwa Na Maneno Haya Mawili Na Siku Yako Itakuwa Bora Sana

Mpendwa rafiki yangu, Kila siku ni kama tunaingia kwenye mchezo fulani. Unapoamka tu unajianda na kwenda kucheza, kila mtu ana tumia mbinu zake katika kucheza na katika mchezo wowote lengo lake ni kupata ushindi hivyo wewe kama mwanamafanikio lazima ujue jinsi ya kushinda katika siku yako. Tunakutana na mengi, tunasikia mengi na tunaona mengi. Ila …

Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kinachokunyima Kufikia Uhuru Wa Kifedha

Mpendwa rafiki, Fedha ni jawabu la mambo yote. Ni mfalme kwa karne hii najua hakuna mtu ambaye anaweza kwenda kulipia bili kwa sababu na akapata kile anachotaka, sababu hazina sauti lakini pesa ina sauti na kifupi tu miasha yako yanakuwa bora sana ukiwa na fedha. Una hitaji pesa ili mambo yako mengi yaende vizuri hivyo …

Usiwe Muumini Wa Mambo Haya

Mpendwa rafiki, Una kuwa vizuriย  sana katika kile ulichoamua kukifanya, kama umejitoa kuwa bora katika eneo fulani lazima uwe bora kwa sababu hakuna kinachokuzuia kuwa hivyo. Umejitoa katika nini? Wewe ni muumini wa mambo gani? muda mwingine mtu anaweza kuja kwako na kukuambia habari ambazo hata wewe huzipendi huna haja ya kukaa na kusikiliza ni …

Jinsi Ya Kujitangaza Na Kujiuza Vizuri

Mpendwa rafiki, Hakuna mtu ambaye atajua wewe una nini bila kusema kile ambacho unacho. Huwezi ukafungua biashara na kuweka bidhaa chumbani huku ukisubiria wateja waje wanunue. Kile unachokitaka lazima kiandane na matendo halisi. Mwingine sauti yake ya ndani inamsukuma kufanya kitu fulani lakini anashundwa kufanya kwa vitendo anaendelea kuongelea ndoto yake katika mdomo na siyo …

Jinsi Ya Kujua Fedha Zako Zinakwenda Wapi Ndani Ya Mwezi

Mpendwa rafiki yangu, Wengi wetu tunapata fedha kwa shida, kwa jasho na muda mwingine hata kwa maumivu. Lakini, kitu cha kushangaza watu wanakuja kusaulishwa maumivu hayo katika matumizi. Yaani mtu akishapata pesa anasahau kabisa kama aliipata kwa shida, akili huwa inaruka au kuondoka kabisa pale mtu anapokuwa na hela na inakuja kurudi hela zikiisha. Wengine …

Dunia Haitosimama Pale Utakapokuwa Umepatwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu anayeweza kuisimamisha dunia, hakuna mtu anayeweza kuibadilisha asili kama vile atakavyo. Dunia iko katika mwendo siku zote hivyo hata uwe na sababu zako nzuri kiasi gani hutoweza kuisimamisha hata kwa sekunde moja. Rafiki yangu, watu wengi wanafikiria kuwa pale unapokuwa umekutana na changamoto katika maisha yako dunia labda itasimama, ukweli …

Kitu Kinachomkamilisha Ubinadamu Wako

Mpendwa rafiki, Tunaweza kuwa na sifa nyingi sana na tabia mbalimbali lakini kuna kitu tukikosa tunakuwa tumekosa ubinadamu. Wewe mpaka unaitwa binadamu una kitu cha kipekee ukilinganisha na mnyama fulani hivyo tuna thamani kubwa ndani yetu ila kama muda mwingine tukikoa thamani ya kitu fulani tunakuwa hatuna maana tena. Kitu kinachokamilisha ubinadamu wetu ni upendo, …

Design a site like this with WordPress.com
Get started