Eneo Pekee La Fedha Linaloonesha Kila Mtu Ni Tajiri

Mpendwa rafiki yangu, Dunia imeshijipanga kuwavuta watu kwenye vitu ambavyo havina maana juu ya maisha yao. Ukijaribu kutafakari utaona maisha ya watu wengi bado hawajajua nini haswa wanataka katika maisha yao. Na mafanikio ya kwanza ni kujua nini unataka kwenye maisha yako na baada ya kujua kuwa tayari kulipia gharama kuhakikisha unapata kile unachotaka. Maisha …

Jinsi Ya Kupata Muda Wa Kukaa Na Familia Yako Kil Siku

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ya sasa watu wamekuwa bize sana, wimbo ambao unatawala katika vinywa vya watu wengi ni ubize. Wanasema katika msafara wa mamba na kenge wao, hii hawajakosea kabisa  kwa sababu siyo kila mtu anayesema yuko bize yuko bize kweli, wengine wana bize tu za mdomo lakini wakiingia kitandani nafsi zao zinawasuta hakuna …

Mambo Mawili Ya Kufanya Kama Unataka Kuongeza Kipato

Mpendwa rafiki, Kila mtu anajua ya kwamba maisha bila kuwa na fedha yanakuwa hayana ni shida, ukisoma maandiko yanatuambia kwa tumeandaliwa mambo vitu vizuri. Swali la kujiuliza hivyo vitu vizuri tutawezaje kuvipata kama hatuna fedha? Ili tupate vitu vizuri na tuwe na maisha mazuri tunatakiwa kwanza tuwe na fedha. Tukiweza na fedha tutaweza kununua kile …

Usikubali Mtu Akufanyie Kitu Hiki Leo

Mpendwa rafiki yangu, Unapoanza siku yako jua kabisa utakutana na watu wasumbufu, watu wasiojali, wadhulumu, watu wa kukutia hasira, kukuibia na mengine mengi. Wewe kama mwanafalsafa wa ustoa, hutakiwi kuianza siku yako bila kujiandaa kisaikolojia kukutana na watu ambao watakwenda kinyume na wewe. Tunatakiwa tujiandae kwenda kushinda lakini tunaalikwa kujiandaa kiakili kukabiliana na yote, mazuri …

Faida Kubwa Ya Kukutana Na Mtu Chanya

Mpendwa rafiki, Ili uweze kufanikiwa unatakiwa kuangalia sana marafiki waliokuzunguka,watu waliokuzunguka wana mchango mkubwa sana kwetu sisi ili tuweze kufanikiwa. Tunaalikwa kuchangamana na watu wanaoendana na ndoto zetu kwa lugha rahisi tuambatane na watu ambao tayari wameshakuwa kile ambacho sisi tunataka kuwa. Kila siku angalia watu ambao unakutana nao na unaotumia muda mwingi kukaa nao, …

Hii Ndiyo Kinga Bora Dhidi Ya Mwili Wako

Aliyekuwa mtawala wa ufarasa, mbabe wa kivita na jemedari jeshi Napoleon Bonaparte aliwahi kusema kufa siyo kitu lakini kuishi kushindwa ,kupigwa na kutokuwa na neema ni kufa kila siku. Wengi wetu wanakufa kila siku kwa kupigwa au kushindwa kila siku na hali ya kutokuwa na shukrani. Tuna vifo vya watu wengi sana ambao kila siku …

Huyu Ndiye Muuzaji wa Kumuogopa

Mpendwa rafiki, Maisha yetu kiujumla ni kuuza na mauzo ndiyo yanafanya maisha yetu yaende kwa sababu kupitia mauzo tunapata kile tunachokitaka. Mauzo ndiyo yanalipa kila kitu katika maisha yetu, kama huna kitu unachouza maana yake huna thamani unayoitoa na kama huna thamani unayoitoa utawezaje kupata fedha? Kwa sababu fedha ni mbadilishano wa thamani yaani lazima …

Bora Kusema Ukweli Kwa Kitu Hiki Kuliko Kujiharibia Sifa Zako

Mpendwa rafiki yangu, Dunia ya leo kuna watu ambao wanajua kufanya kila kitu hata kama kitu hawawezi watakuambia wanajua kufanya, huwezi kuwa bora kwenye kila kitu bali unaweza kuwa bora sehemu moja tu ambayo umechagua kuwa. Mtu ambaye kila sehemu anagusa gusa na kuacha ni wazi bado mtu hajajitambua anafanya nini hapa duniani. Hakuna kitu …

Kujua Mema Ni Kutenda Mema

Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anajua mema, hivyo kama unajua mema je unayatenda mema kweli? Ulishawahi hata kusema leo acha iwe ni siku yangu ya kutenda mema? Mwanafalsafa wa kigiriki Socrates aliwahi kusema, kujua mema ni kutenda mema je wewe unajua mema na unayatenda? Kila mmoja wetu leo ajue mema na ayatende mema kama inavyotakiwa. …

Kwanini Kila Mtu Anapaswa Kunywa Maji Ya Kisima Chake Mwenyewe Katika Maisha Ya Ndoa

Mpendwa rafiki yangu, Maisha ya ndoa yana dai uaminifu, maisha ya ndoa yakikosa uaminifu yanakuwa hayana maana na kukosa ladha. Wote tunajua kuwa chakula kikikosa chumvi kinakuwa hakina ladha vivyo hivyo katika maisha ya ndoa.  Uaminifu unatakiwa kujengewa ukuta, je ukuta huo unatakiwa kujengewa wapi? Ukuta wa uaminifu unajengewa moyoni. Mwanaume au mwanamke hawezi kumzua …

Design a site like this with WordPress.com
Get started