Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu anajua kuwa bila nishati hatuwezi kufanikisha baadhi ya mambo kama vile kupika chakula kama hatuna nishati ya kutuwezesha kupika chakula. Kila nishati ina umuhimu wake kadiri ya uhitaji wa mtu fulani. Hata katika maisha yetu ya kawaida ili tuweze kufanya kazi vizuri tunahitaji nishati pia. Nishati ni kama kichocheo …
Category Archives: Uncategorized
Ushauri Kwa Wale Wanaoanza Kufanya Biashara
Mpendwa rafiki, Biashara ni asili ya mwanadamu kabla ya ujio wa ajira watu walikuwa wanafanya biashara na tokea ajira zianzishwe mpaka sasa zina zaidi ya miaka mia mbili kumbe basi biashara ndiyo asili ya mwandamu. Hakuna sehemu ambayo ni salama lakini ingia sehemu ambayo unaipenda na unaweza kutoa thamani yako yote pale. Sehemu ambayo unaweza …
Continue reading “Ushauri Kwa Wale Wanaoanza Kufanya Biashara”
Hujaamua Kufanya Hiki Ndiyo Maana Hufanikiwi
Mpendwa rafiki yangu, Kitu kimoja nachokiamini ni kwamba tuna nguvu ya kuyaweka maisha yetu vile tunavyotaka yawe. Hata maisha unayoishi sasa umechagua kuyaishi kwa nguvu zako mwenyewe hakuna aliyekushikia fimbo. Kikundi fulani cha wafanyakazi kilikuwa kinasafiri kwenda mahali fulani. Walipofika njiani kiongozi wao aliwaambia wapitie sehemu fulani ili waweze kupata vinywaji na kila mtu achukue …
Continue reading “Hujaamua Kufanya Hiki Ndiyo Maana Hufanikiwi”
Njia Itakayokufanya Udidimie Kiuchumi
Mpendwa rafiki yangu, Tokea nimeanza kujifunza kuhusu masuala ya fedha nimegundua kuwa sisi wenyewe ndiyo tunaamua fedha zibaki na sisi au tuzipoteze. Chuma ulete mkubwa wa fedha zako ni wewe mwenyewe na wala siyo mtu mwingine. Watu wengi hawana kumbukumbu zao za kifedha kuanzia nyumbani, kazini hata kwenye biashara. Tunaambiwa kuwa mali bila daftari hupotea …
Haya Ndiyo Matatizo Yanayowasumbua Watu Wengi
Mpendwa rafiki yangu, Kama bado uko hai basi matatizo ni rafiki yako na utaachana naye pale siku mwili na roho yako vitakapotengana. Na njia ya rahisi ya kukimbia matatizo ya duniani ni kutokuwepo duniani lakini kama unataka kuishi basi chukulia matatizo yapo na yataendelea kuwepo. Hivi dunia ingekuwaje kama ungekuwa unapata kile unachokitaka bila changamoto …
Continue reading “Haya Ndiyo Matatizo Yanayowasumbua Watu Wengi”
Haya Ndiyo Mahusiano Magumu Katika Zama Hizi Za Taarifa
Mpendwa rafiki yangu, Natumaini kila mmoja wetu yuko katika mahusiano na ni mpango wa Mungu kila mmoja wetu kuzaliwa katika mahusiano. Hivyo maisha ni hakuna kama hakuna mahusiano na wengine. Kuna mahusiano ambayo yana ladha na yale ambayo hayana ladha. Yale yenye ladha ni yapi na yale yasiyo na ladha ni yapi? Ukichunguza matatizo mengi …
Continue reading “Haya Ndiyo Mahusiano Magumu Katika Zama Hizi Za Taarifa”
Chochote Kinaweza kutokea, Jiandae Kukabiliana Nacho
Rafiki, Hakuna aliyeamka na kuanza siku atakutana na changamoto gani. Huwa tunaanza siku lakini hatujui siku yetu itaishaje. Kweli tunauwezo wa kujua sasa na kutawala uwepo wetu wa sasa. Tungekuwa tunajua nini kitatupata hapo baadaye huenda tungejiepusha lakini mambo mengi ni kama kitendawili vile. Ili uweze kujiandaa na chochote kile na jiandae kukabiliana na kila …
Continue reading “Chochote Kinaweza kutokea, Jiandae Kukabiliana Nacho”
Mtu Pekee Anayeweza Kukufanyia Kazi Yako Kwa Ubora
Mpendwa rafiki, Kila mmoja wetu anapenda vitu bora katika maisha yake. Huwa tunapenda kuona kazi bora kupitia kwetu wenyewe na hata wanaotuzunguka. Kazi ndiyo utambulisho wa mtu na kama tunavyojua huwa hakuna mtu tunayemfanyia kazi zaidi ya sisi wenyewe. Usije ukalipua kazi na kusema hii siyo yangu sihitaji umakini kama vile navyofanya kazi yako. kazi …
Continue reading “Mtu Pekee Anayeweza Kukufanyia Kazi Yako Kwa Ubora”
Hisia Hatari Inayowatesa Watu Wengi Katika Karne Ya 21
Mpendwa rafiki yangu, Kuna hisia za aina mbili ziko hisia hasi na hisia chanya. Hisia hasi ni kama vile wivu, hasira nk wakati hisia chanya ni kama vile upendo,furaha nk. Kiufupi maisha yetu yanaendeshwa na hisia na karibu maeneo mengi ya maisha yetu tunafanya maamuzi kwa hisia ndiyo maana tukiwa na hisia fulani baada ya …
Continue reading “Hisia Hatari Inayowatesa Watu Wengi Katika Karne Ya 21”
Hakuna Haki Bila Kitu Hiki Hapa
Mpendwa rafiki yangu, Karibu misingi ya dini nyingi hapa duniani zinadai haki. Falsafa ya ustoa nayo inadai haki hivyo kila mmoja wetu anapenda kutendewa haki kwa kile alichokifanya. Kumnyima mtu haki yake ni kumnyima uhuru wa maisha yake. Licha ya watu wengi kudai haki karibu maeneo mengi ya maisha yetu tunabidili tuzingatie kitu kimoja. Tunapaswa …