Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri, leo ni siku bora na ya kipekee sana kwako natumaini umeiazna siku yako kwa hamasa kubwa itakayokuwezesha kutimiza mipango yako uliyojiwekea katika juma hili. Kwahiyo, tunaalikwa kutumia vizuri rasilimali ya muda tuliopewa bure tumia muda …
Continue reading “Hii Ndiyo Nadharia Ya Mafanikio Yote Unayoyaona Hapa Duniani”