Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo, kwani leo ni siku bora sana na ya kipekee kwetu kwenda kufanya mambo makubwa na kutarajia kupata matokeo makubwa. …
Continue reading “Fahamu Sababu Ambazo Haziwezi Kuzuia Dunia Kuendelea Mbele”