Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Leo ni siku ya mwisho ya juma hili yaani wikiendi hivyo rafiki napenda kukukumbusha kuwa tenga muda wako leo kutafakari maisha yako ,wiki yako ilikwendaje na upange mipango ya wiki kesho. Usisahau kufanya hivyo kwani …
Continue reading “Mambo Muhimu Yakujifunza Kutoka Katika Kitabu Cha Kocha Alex Ferguson”