Salamu Za Mwezi June Kwako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana katika maisha yako kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata matokeo bora. Hongera sana rafiki kwa …

Huyu Ndiye Shabiki Namba Moja Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na umeianza siku yako vema katika hali ya mtazamo chanya. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo katika maisha yako kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwenda kufanya yale uliyotazamia kufanya leo. …

Njia Bora Ya Kuepuka Wivu Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri rafiki yangu. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani ni siku bora sana na ya kipekee katika maisha yako kwahiyo,unaalikwa kuitumia vizuri siku yako ya leo katika mambo chanya ili uweze kupata …

Faida Za Kuuliza Maswali Sehemu Sahihi

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na umeianza siku yako kwa mtazamo chanya kabisa wa kwenda kutekeleza majukumu yako ya leo kwa hamasa kubwa na kutegemea kupata kilicho bora. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku …

Vitu Viwili (02) Vinavyoongeza Mahusiano Katika Familia

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendeea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya pekee sana katika maisha yako, hivyo tunaalikwa kutumia muda wetu ili tuweze kufanikisha yale tuliyotazamia …

Uchambuzi Wa Kitabu; Mambo 20 Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha The Art of Thinking Clearly

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama tena siku hii ya leo. Rafiki, nipende kutumia nafasi hii niweze kukualika tena katika makala yetu ya leo ambapo leo nitakwenda kukushirikisha uchambuzi wa kitabu yale muhimu niliyojifunza. Karibu sana tuweze kuambatana pamoja hadi pale tamati ya …

Kama Unataka Kujitawala Fanya Kitu Hiki

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri katika maisha yako. Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora sana na ya kipekee kwako, hivyo tunaalikwa kutumia vizuri siku yetu ya leo ili tuweze …

Hawa Ndiyo Watu Wanaokuharibia Biashara Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri kupambana kuhakikisha unatimiza yale muhimu uliyojiwekea. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani ni siku bora na y a kipekee kwako hivyo basi, itumie vizuri siku yako ya leo ili uweze …

Kwanini Ni Muhimu Kila Jambo Kufanyika Sehemu Sahihi

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni matumaini yangu kuwa hujambo na unaendelea vizuri. Hongera rafiki  kwa zawadi nzuri ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana katika maisha yako. Hivyo tumia muda wako vizuri ili uweze kuitendea haki siku yako ya leo. …

Jinsi Dunia Inavyokufuatilia Katika Maisha Yako

Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Ni imani yangu kuwa umeamka salama na uko buheri wa afya. Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya leo kwani leo ni siku bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kufanya kilicho bora na kutegemea kupata matokeo bora. Rafiki, ili yote …

Design a site like this with WordPress.com
Get started