Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini umeamka salama na umeinza siku yako vizuri kwa mtazamo chanya. Kila siku anza siku yako kwa vipaombele vyako na siyo vipaombele vya wengine kwa sababu unapoanza siku na kukimbilia mambo ya wengine na kusahau yako binafsi unakuwa umechagua kujidhulumu mwenyewe. Hongera sana …
Continue reading “Njia Bora Ya Kukusaidia Kuwa Na Mabadiliko Unayoyataka Katika Maisha Yako”