Ni jambo la kumshukuru Mungu kuishi zama hizi kwa sababu katika zama hizi tuna bahati kubwa ukilinganisha na wale watu walioishi miaka 100 iliyopita. Shukrani kwa mtandao wa intaneti ambao umenisaidia kukutana na watu ambao wananisaidia kukamilisha ndoto yangu. Kupitia mtandao wa wasapu ndipo nilipoweza kukutana na Professor Innocentus Alhamis na hatimaye kuweza kuandika dibaji. …
Continue reading “Ufahamu Wasifu Wa Aliyeandika Dibaji Ya Kitabu Cha Kwa Nini Umezaliwa Kushinda”