Mafanikio yoyote yale unayojua hayapatikani kirahisi. Kila mafanikio unayopata ujue umeweka kazi. Kama ingekuwa mambo ni marahisi, kila mtu angefanya. Ukitaka kufanikiwa kwenye kile unachotaka epuka demokrasia. Demokrasia haiwezi kukupa kile unachotaka kwenye maisha yako. Usijipe sababu za kidemokrasia kama unataka kufanikiwa. Demokrasia inabembeleza. Na mafanikio hayahitaji kubembeleza bali yaani hitaji lazima. Kama unataka kupiga …
Continue reading “Epuka Kitu Hiki Kama Unahitaji Kufanikiwa”