Habari ya leo mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa KESSY DEO? Ni imani yangu kuwa uko vizuri na unatumia vizuri uwepo wako hapa duniani. Kama nilivyokushirikisha hapo awali kuwa tarehe moja ya mwezi wa kumi nilitimiza mwaka mmoja wa kuandika kila siku kupitia mtandao huu wa Kessy Deo. Hivyo basi, tokea nianze safari ya …
Continue reading “Karibu Ujiunge Katika Kundi Jipya La Wasapu La Mtandao Wa Kessy Deo”