Tafuta Watu Makini Wakuambatana Na Wewe

Rafiki, Jamii zetu zinakatisha tamaa.Kama huna roho ngumu huwezi kutoboa. Hakuna jamii ambayo itaweza kukuachia ufanikiwe kirahisi.Bila kuwa na watu ambao wanakutia moyo kwenye mapito, ni rahisi kukubaliana na jamii. Ili uweze kuishinda jamii, unapaswa kuwa na mfumo wa uwajibikaji.Uwe na watu ambao wana ndoto kama wewe.Watu ambao wanakuwa wanajua unataka nini na mshirikishana mambo …

Jinsi Ya Kushindikana

Rafiki, Pale tu unapotangaza kile unachotaka kwenye maisha yako, dunia huwa inaanza vita na wewe. Dunia itakuzingua, itakupa changamoto nyingi ili kukupima kama kweli unakitaka kweli kile unachotaka au unazingua tu. Safari ya mafanikio ina magumu mengi. Wakati mwingine unakutana na changamoto kiasi cha kukata tamaa na kujiambia kabisa, nahangaika hivi ili nini? Hakuna ushindi …

Jinsi Ya Kuondokana Na Changamoto Ya Kusahau

Rafiki, Tunaishi katika zama za mambo mengi. Muda ni mchache na mambo ya kufanya ni mengi kwa sasa kiasi cha watu kuvurugwa na mambo mengi. Ni zama ambazo unaweza kuongea na mtu ukazani anakusikiliza kumbe umakini wake uko sehemu nyingine kabisa. Unampa mtu maelekezo ya nini anatakiwa afanye lakini anakuja kuleta matokeo tofauti. Na ni …

Njia Rahisi Ya Kufanikiwa

Rafiki, Watu wengi wamekuwa wanatafuta njia rahisi ya kufanikiwa. Na wale wanaotafuta njia rahisi ya kufanikiwa ndiyo wanaishia KUTAPELIWA.Kifupi rafiki yangu, hakuna njia rahisi ya kufanikiwa kwenye maisha. Mafanikio yote yanahitaji kazi. Hakuna mafanikio makubwa yanayokuja kwako kirahisi bali yanahitaji kazi. Weka kazi, kila kitu kinahitaji kazi. Usijidanganye kwamba mambo ni rahisi, jiambie hakuna mafanikio …

Vitu Vitatu Vya Kuvipa Uzito

Rafiki, Kuna vitu vitatu ambavyo hata watu huwa hawavipi kipau mbele sana kwenye kazi au biashara. Vitu hivyo ni juhudi, kujitoa na kutokukata tamaa.Vitu hivi ukiwa navyo, huwa vinashinda hata elimu, vipaji na uzoefu. Kama mtu akivipa uzito vitu hivi, kuweka juhudi kubwa, kujitoa hasa kuhakikisha unapata unachotaka na kutokukata tamaa hata kama unakutana na …

Usiogope Kuwa Na Hiki Kitu

Rafiki, Kama umeshawahi kusikia, watu wanasema wasiwasi ndiyo akili. Watu wanakuwa na wasiwasi kwa sababu ya kukosa uhakika juu ya jambo fulani. Wasiwasi siyo mbaya, wasiwasi unamfanya mtu awe makini zaidi. Pata picha ukiwa unasafiri na hujui kule unakokwenda, utakuwa unauliza kila saa na kukumbusha kuwa wakushushe mahali fulani. Unakuwa makini ili usije ukapitishwa. Wasiwasi …

Hakuna Kinachoshindikana Mbele Ya Tabia

Rafiki, Vitu vyote unavyofanya kwenye maisha yako, ni zao la tabia. Mambo mengi unayofanya kila siku ni kwa sababu ya tabia. Watu huwa wanafanya vitu walivyozoea kila siku na siyo nje ya hapo.Huwa tunatengeneza tabia, kisha tabia zinatutengeneza. Chochote kile ambacho unataka kiwe sehemu ya maisha yako, jenga tabia tu. Hakuna kinachoshindikana mbele ya tabia. …

Kama Mambo Hayawezekani

Rafiki, Kama hayawezekani basi fanya kile kinachowezekana. Hata mambo yawe magumu kiasi gani, kuna mahali pa kuanzia. Anzia hapo ulipo, fanya kile kinachowezekana na baada ya muda utajikuta unafanya kisichowezekana. Angalia kila changamoto kama fursa kwako kufanya kile kinachowezekana.Kwenye maisha, ugumu unakuwepo pale unapokuwa hujaanza. Kuanza huwa kunatoa njia.Kuanza ni ufunguo wa kuondoa laana ya …

Jiandae

Rafiki, Kila anayeamka asubuhi hajui nini kitakwenda kutokea kwenye siku yake. Tunakuwa na mipango yetu mizuri tunapoamka, lakini dunia nayo inakuwa na mipango yake pia. Jiandae kwa mipango yako lakini jua kabisa dunia nayo ina mipango yake. Usije ukapata kisirani pale dunia inapoingilia mipango yako. Jua asili ndivyo ilivyo. Kuna wakati mambo yanaenda tofauti na …

Njaa Inayowasumbua Watu Wengi Zama Hizi

Rafiki, Kama unataka ukubalike na kujenga ushawishi kwa watu unaohusiana nao basi jenga tabia moja, ambayo ni jenga tabia ya kusifia yale mazuri unayoyaona kwa mtu. Wasifie watu, kwa sababu watu wanapenda kusifiwa na ndiyo njaa yao kuu. Unapowasifia watu, watu wanajisikia vizuri na hata kukubaliana na wewe kirahisi kwenye kile unachopendekeza. Watu huwa wanafanya …

Design a site like this with WordPress.com
Get started