Mpendwa rafiki, Ili kujitofautisha na wengine unatakiwa uwe na nidhamu sana kwa sababu mtu mwenye nidhamu ya maisha anakuwa siyo mtu wa kuongea bali ni vitendo hivyo basi, yule anayesimamia nidhamu anakuwa anatekeleza mambo mengi katika maisha yake. Huwa tunapenda kuwa kama watu fulani kwa mdomo tu lakini sasa kuingia katika uwanja wa kufanya ndiyo …
Continue reading "Kuwa Wa Kwanza Na Wa Mwisho Katika Sehemu Hizi Mbili"