Usikubali kuanza siku yako kwa kisirani hata siku moja. Anza siku yako ukiwa na furaha yaani unapopata tu zawadi ya kuamka salama shukuru na jiambie kuwa leo ni siku bora na ya kipekee sana kwangu na nimechagua leo kuwa siku ya furaha kwangu. Kila kitu ni kuchagua kwenye maisha, je wewe umechagua kuianza siku yako …
Category Archives: SAIKOLOJIA NA MAISHA
Tafadhali, Usihangaike Na Watu Hawa
Usihangaike na wasioamini kile unachofanya. Wewe hangaika na wale ambao wanakuelewa. Maisha ni biashara, kumbuka siyo kila mtu atanunua kile unachouza, watu wanaouhuru wa kuamini na kutaka kununua kile wanachojisikia kununua. Hivyo usilazimishe kueleweka na wale ambao hawajui mchakato unaopitia. Wako watu ambao hawataamini kwenye kile unachofanya, na siyo kwa sababu ni wabaya au hawakupendi …
Kama Unataka Kupata Kile Unachotaka, Jenga Nguvu Hii
Jenga nguvu ya ushawishi. Kama huna ushawishi ni ngumu kukubaliana na mtu yeyote yule. Kama huna nguvu ya ushawishi huwezi kuuza kitu chochote kile. Kwenye majadiliano yoyote yale, mwenye nguvu ya ushawishi ndiye anapata kile anachotaka. Hakikisha unakuwa na ushawishi kwenye kile unachofanya kiasi kwamba watu wawe tayari kukupa kile unachotaka kwenye maisha yako. Muda …
Continue reading “Kama Unataka Kupata Kile Unachotaka, Jenga Nguvu Hii”
Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wengi Wanapenda Kupata
Ni uhakika.Watu wakipata uhakika huwa wanapata utulivu wa ndani. Hata mteja yeyote yule akishahakikishiwa uhakika na muuzaji na kumpa ushuhuda anakuwa hana shaka tena. Anapata utulivu wa ndani na kuendelea kufanya yake. Watu wengine wanaogopa au kuchelewa kufanya maamuzi kwa sababu ya hofu ya kushindwa kupata uhakika.Mtu anakuwa anajiuliza hivi nikilipia nitapata kile nachotaka au …
Continue reading “Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Watu Wengi Wanapenda Kupata”
Kila Siku Unapaswa Kuitumia Kanuni Hii
Kifupi rafiki yangu, kila siku unatakiwa uwe bora zaidi ya jana. Yaani siku zako mbili zisifanane. Kama unataka siku zako mbili zisifanane unatakiwa kutumia au kuishi kanuni moja inayojulikana kama kanuni ya Kaizen Rule. Kanuni hii ikoje kwani? Hii kanuni inasema hivi, never ending improvement, yaani uwe na maboresho kila siku. Isifikie mahali ukasema sasa …
Ukipata Muda Huu, Utaweza Kufanya Mambo Makubwa Sana
Huwezi kufanya mambo makubwa kama akili yako haijatulia. Huwezi kuyajua maisha yako vizuri sana kwenye kila eneo la maisha yako kama hujapata muda wa kutulia. Ukipata muda wa kutulia kwenye maisha yako, utaweza kufanya mambo makubwa sana.Watu wanajikimbia hawataki hata kupata muda wa kujisikiliza wao wenyewe kupitia sauti zao za ndani. Hivi unajua kuwa sauti …
Continue reading “Ukipata Muda Huu, Utaweza Kufanya Mambo Makubwa Sana”
Uko Kwenye Kundi Gani Kati Ya Haya Hapa Mawili?
Rafiki yangu nikupendae,Hakuna zama ambazo watu wamevurugwa kama zama hizi. Kumekuwa na fujo nyingi za kwenye mitandao ya kijamii kiaisi kwamba zinawafanya watu kushindwa kuwajibika kwenye majukumu yao. Watu wamekuwa wanapoteza furaha kwa sababu ya kujilinganisha na yule ambaye ameposti kitu chake kwenye mtandao. Mtu anafanya kazi kidogo baada ya muda anakimbilia kuchungulia nini kinaendelea …
Continue reading “Uko Kwenye Kundi Gani Kati Ya Haya Hapa Mawili?”
Njia Nzuri Ya Kufuta Makosa Yako Pale Unapokuwa Umekosea
Hakuna mtu ambaye hakosei. Siyo tu kukosea hakuna mtu ambaye yuko sahihi asilimia 75. Hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kuwa sahihi mara zote. Hili linadhihirishwa na aliyekuwa raisi wa Marekeni Theodore Roosevelt aliwahi kunukuliwa akisema, kama angeweza kuwa sahihi asilimia 75 tu angeweza kufanya makubwa sana. Ukitaka watu wakuheshimu zaidi hata kama umefanya kosa ni …
Continue reading “Njia Nzuri Ya Kufuta Makosa Yako Pale Unapokuwa Umekosea”
Ili Mapenzi Yake Yatimie
Siyo kila mtu anayeteseka ametenda dhambi. Ni akili za binadamu kuona mtu akiteseka basi anajua ametenda dhambi au amepatwa na laana. Wakati mwingine mtu anateseka na hana makosa aliyofanya lakini kiasili Mungu huwa anaruhusu mtu ateseke ili mapenzi yake yatimie. Huenda hata wewe kuna maumivu unayopitia, jua unapitia maumivu hayo ili uweze kuimarishwa kwa kitu …
Njia Ya Kushawishi Watu Kukubaliana Na Wewe
Ukitaka watu wakubaliane na wewe usiwakosoe. Kisaikolojia mtu akiona umeshamkosoa huwa anatafuta namna ya kujilinda. Watu wanataka wafanye ambacho wao wanaona wameamua wao kufanya maamuzi na siyo kulazimishwa. Kwa mfano, mtu mmoja alikuwa ni kiongozi wa kiwanda fulani alikuwa anawalazimisha wafanyakazi wa kiwanda hicho kuvaa kofia.Alikuwa anatumia mamlaka yake kila anapokutana na mtu ambaye hajavaa …
Continue reading “Njia Ya Kushawishi Watu Kukubaliana Na Wewe”