Kwa kuwa wewe ni muuzaji bora kuwahi kutokea, unapaswa kuwa vizuri sana kwenye eneo la mauzo kwani mauzo ndiyo yanaleta fedha mifukoni. Hakuna watu wajanja kama wateja, wanazo mbinu nyingi wanazotumia pale wanapokuwa hawataki kununua kwako. Na siyo kwamba hawana hela, hela wanazo na wakiamua kukupiga chenga wanakujibu jibu ambalo halitakufanya uumie. Wateja wanajua sisi …
Category Archives: Masoko Na Mauzo
Njia Rahisi Ya Kuwapoteza Wateja Wako
Uwe unafanya biashara au hufanyi lakini kiasili kila mtu ana mteja wake kwa sababu kuu moja ambayo ni kila mtu ni muuzaji. Kwa sababu kama huna unachouza utayaendeshaji maisha yako? Wako wanaouza huduma, ujuzi, maarifa, uzoefu, muda nk. Kitu muhimu sana wewe kama muuzaji unachotakiwa kufanya ni kutimiza ahadi unazotoa. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wanawadanganya wateja …
Changamoto Ya Kukosa Hela Inaanzia Hapa
Ukiona huingizi hela kwenye maisha yako basi changamoto yako ni moja huna unachouza au unauza kidogo. Fedha inapatikana kwa kutoa thamani kubwa kwa wengine na katika kutoa thamani ndiyo tunapata fedha. Kifupi fedha ni mbadilishano wa thamani. Unaweza kupata chochote kile unachotaka kwenye maisha yako kama utaweza kuuza zaidi. Ukiweza kuuza zaidi utaweza kutatua changamoto …
Sheria Namba Moja Ya Kushinda Na Kushikilia Kuaminika Na Wengine
Kwa dunia ya sasa hivi, uaminifu umekuwa ni bidhaa adimu, kamwe usitegemee kuipata kwa kila mtu. Uaminifu wa kitu chochote kile huwa unaanza na sisi wenyewe kwa mfano, Kama unapanga wewe mwenyewe halafu hufanyi hapo unakuwa siyo mwaminifu kwako mwenyewe. Ili uweze kuaminika lazima uwe na sifa za kuaminika. Mtu yeyote aliyejijengea sifa za kuaminika …
Continue reading “Sheria Namba Moja Ya Kushinda Na Kushikilia Kuaminika Na Wengine”
Kama Unataka Kuuza Chochote Kile, Tafuta Kundi Hili
Kama unavyojua, maisha ni mauzo, lazima uuze kitu fulani ili upate fedha. Bila kuuza, ni wazi hakuna kipato utakachoingiza. Ili uweze kuuza chochote kile, unapaswa kutafuta kundi lenye njaa kali, kisha unawauzia kundi hilo chakula au kile wanachotaka ili kushibisha njaa yao. Nadhani unapata picha, mtu akiwa na njaa hasa, atanunua chakula kwa namna yoyote …
Continue reading “Kama Unataka Kuuza Chochote Kile, Tafuta Kundi Hili”
Mpe Mteja Uhakika Huu Hapa
Kwenye biashara au huduma yoyote ile unayotoa, unatakiwa kumpatia mteja uhakika wa kile unachomuuzia. Mfanye ajisikie kwamba amepata suluhisho na siyo kupoteza fedha zake. Siku zote kutoa fedha kunauma, kwa sababu unapotoa fedha na kulipia kitu, maana yake huna tena fedha hizo kwa matumizi mengine. Jua mteja wako ana matumizi mengine ya fedha zake, hivyo …
Inafanya Kazi Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako
Kanuni kuu kwenye mauzo ni kwamba, ukijua kitu ambacho watu wanataka na ukawapa watakuwa tayari kukubaliana na wewe. Sheria hii siyo tu inafanya kazi kwenye mauzo, bali inafanya kazi kwenye kila eneo la maisha. Kwa kifupi rafiki yangu, tunaweza kusema ndiyo sheria kuu ya mahusiano ya binadamu. Pale unapomwonyesha mtu kitu anachotaka, atakuwa tayari kufanya …
Continue reading “Inafanya Kazi Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako”
Hii Ndiyo Sababu Inayokuzuia Usipate Kile Unachotaka
Kila mtu anapenda kupata kile anachotaka kwenye maisha yake lakini kipo kitu kimoja kinachochangia sana watu kutokupata wanachotaka. Utajisikiaje kama leo utakijua kile ambacho kinakuzuia usipate kile unachotaka? Pata picha maisha yako yatakavyobadilika pale tu utakapojua kile ambacho kinafanya usifanikiwe. Habari njema ni kwamba, unaweza kupata chochote kile unachotaka kwenye maisha yako, kama utaweza kuuza …
Continue reading “Hii Ndiyo Sababu Inayokuzuia Usipate Kile Unachotaka”
Mbinu Ya Kutokujiumiza Pale Unapopoteza Fedha
Pata picha inavyokuuma pale unapopoteza fedha, utajisikiaje? Kila mmoja wetu kuna maumivu ambayo anayapata pale anapopoteza fedha zake. Iko mbinu ambayo inaweza kukusaidia kutokuumia pale unapopoteza fedha. Ukipoteza fedha chukulia kama umetoa sadaka au umemmsaidia mtu asiyejiweza kwa kufanya hilo litakuzuia usiumizwe na kupotea kwa fedha. Bila kufanya hivyo, utajikuta unajiumiza kila wakati. Hatua ya …
Continue reading “Mbinu Ya Kutokujiumiza Pale Unapopoteza Fedha”
Kabla Mteja Hajanunua Bidhaa au Huduma Unayouza Lazima Kwanza Anunue Kitu Hiki Kutoka Kwako
Huwa tunafikiri katika mauzo wateja wanaanza kununua bidhaa zetu, kitu ambacho siyo sahihi. Iko hivi rafiki yangu, kabla mteja hajanunua bidhaa au huduma Unayouza Lazima kwanza akununue wewe muuzaji. Ili mteja akununue wewe muuzaji lazima kwanza muuzaji uwe unauzika. Muuzaji ukiwa hauuziki watu watakuwa hawana mpango hata wa kununua kile unachouza. Unatakiwa uwashawishi watu kwa …