Rafiki yangu mpendwa, Hakuna mtu ambaye ana akili zake timamu ataweza kwenda kumpiga teke mbwa aliyekufa. Itakuwa ni jambo la ajabu sana. Hakuna mtu mwenye akili timamu pia, atakwenda kurusha mawe kwenye mti ambao hauna matunda. Ukichukua mti wa mwembe ukaenda ukauweka katika ya shule ya msingi na ukachukua mti ambao hauna matunda ukaenda ukaweka …
Continue reading “Kama Husemwi Katika Maisha Yako, Basi Hufanyi Kitu Hiki Hapa Kimoja”