Design a site like this with WordPress.com
Get started

Jinsi Ya Kujihamasisha Wewe Mwenyewe

Mpendwa rafiki yangu, Watu wengi wanakata tamaa kwa sababu ya kukosa hamasa, wako ambao wanayaona maisha yao hayana maana ya wengine ndiyo yenye maana. Wengi wanayadaharau maisha yao na kushindwa kujikubali hata kwa kile kidogo walichonacho. Tusipojifunza jinsi ya kujihamasisha sisi wenyewe na kusubiri watu wegine ndiyo waje kutuhamasisha tutazidi kuyachukia maisha yetu na mwisho …

Hii Ndiyo Sifa Ya Watu Wengi Waliofanikiwa

Rafiki, Watu wengi waliofanikiwa huwa ¬†wanakuwa na sifa moja ambayo inafanana. Mtu aliyefanikiwa utamjua tu hata kwa kumwangalia kwa macho. Mtu aliyefanikiwa huwa hajioneshi bali mafanikio yake mwenyewe ndiyo yanajionesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani. Watu waliofanikiwa wanasifa moja ambayo ni ya unyenyekevu. Watu waliofanikiwa wanakuwa wana unyenyekevu kweli ukilinganisha hata na wale …

Uko Kundi Gani Kati Ya Haya Mawili

Rafiki, Maisha yetu yanaathiri watu wengine kwa kiasi kikubwa sana, kama tutakuwa tunaishi maisha yenye mchango chanya kwa wengine basi tutatukuwa tunawaathiri sana wengine na kufanikiwa kwa vile tunavyofanya na tunavyoishi. Leo hii nakupa kazi moja rafiki yangu, nenda kajitafakari je wewe unasemwa kwa mazuri au mabaya? Dunia huwa inatupa kile tunachokitoa nje, usitegemee unatoa …

Siku Hii Ya Leo Nenda Katawale Kitu Hiki Moja Na Utakuwa Na Siku Bora

Rafiki, Kila mtu anataka kuwa na siku bora, hivyo huwezi kuwa na siku bora kama hujui jinsi ya kuwa na siku bora katika maisha yako. Ukitaka kuwa na siku bora, tawala kwanza mawazo yako. usikubali uendeshwe na hisia yoyote bali kubali kuingozwa na akili kwanza. Chochote unachotaka kufanya rudi kwanza kwenye kufikiri kwanza kabla ya …

Kama Husemwi Katika Maisha Yako, Basi Hufanyi Kitu Hiki Hapa Kimoja

Rafiki yangu mpendwa, Hakuna mtu ambaye ana akili zake timamu ataweza kwenda kumpiga teke mbwa aliyekufa. Itakuwa ni jambo la ajabu sana. Hakuna mtu mwenye akili timamu pia, atakwenda kurusha mawe kwenye mti ambao hauna matunda. Ukichukua mti wa mwembe ukaenda ukauweka katika ya shule ya msingi na ukachukua mti ambao hauna matunda ukaenda ukaweka …

Hiki Ndiyo Kitu Pekee Kitakachokupa Mafanikio Makubwa

Rafiki, Kila mmoja wetu anapenda mafanikio katika maisha yake. Ambaye hapendi mafanikio basi huenda hayuko katika sayari hii ya dunia. Kila siku tunaweka juhudi za kuwa bora katika maisha yetu ili tuweze kuwa na mafanikio kwenye kila eneo la maisha yetu. Tunapambana usiku na mchana kutafuta mafanikio, kutafuta ubora, tunaenda semina, tuko katika program maalumu …

Hakuna Kitu Kinachoshindikana Kwa Mtu Huyu

Mpendwa rafiki, Huwa tunasababu nyingi sana pale tunapotaka kuanza kufanya kitu, binadamu wamekuwa ni watu wa sababu kwanini hawezi na siyo kwanini wanaweza. Huwa tunajionea huruma sana katika maisha kwa kukimbia kazi na kuchagua kufanya vile vitu rahisi. Asili ya kila binadamu ni kazi, binadamu ambaye hataki kazi hana sifa za kuwa binadamu. Huwezi kuishi …

Hawa Ndiyo Watu Wanaohamasisha Watu

Mpendwa mwanamafanikio, Hakuna mtu anayehamasika na mtu ambaye anafanya mambo madogo au anahamasika kwa mtu aliyefeli. Tulishajifunza kuwa unatakiwa kujifunza sana katika yale uliyofanikiwa na siyo yale uliyoshindwa. Dunia huwa inapenda kuhamasika na watu wanaofanya makubwa, watu wenye maono makubwa ambao wamechukua hatua kubwa. Watu wanapenda kufanya kazi au kumfuata mtu anayewahamasisha kwa kitu fulani,na …

Kwanini Hutakiwi Kujifunza Kutokana Na Makosa Yako

Rafiki, Huwa mara nyingi tunasikia kauli kama hii jifunze kutokana na makosa yako, lakinini kuna kauli moja ambayo wengi wetu huwa hatujiambii kama tunavyojiambia au kuwaambia wengine wajifunze kutokana na makosa yao. Mara nyingi tukijifunza kutokana na makosa yetu huwa haina hamasa sana katika maisha yetu, Muda mwingine tunakata tamaa kutokana na makosa tuliyofanya hivyo …

Kama Unataka Mafanikio Kwenye Maisha Yako Epuka Kitu Hiki

Mpendwa ¬†rafiki yangu, Mafanikio yana mambo mengi, ni mjumuisho wa mambo mengi na siyo kitu kimoja. Hivyo basi, Usione mtu kafanikiwa ukazani ni kitu kimoja, hapana ni mkusanyiko wa mambo mengi. Kama unataka kufanya jambo lako muhimu sana ni vema ukalifanya muda wa asubuhi kabla dunia haijaamka. Sasa katika huo muda wa asubuhi unatakiwa utawale …