Design a site like this with WordPress.com
Get started

Hata Kama Una Kipato Kikubwa  Kiasi Gani Ishi Maisha Haya

Haijalishi unalipwa kipato kikubwa kiasi gani, unaingiza sana fedha ila ukikosa kitu ambacho nakwenda kukushirikisha hapa wewe utakua ni masikini tu. Kuna watu wanakusanya kweli pesa lakini wanatumia zote wanabakiwa watupu wakiwa hawana kitu. Unapata elfu kumi unatumia yote elfu kumi,kwa mtindo huo utaweza kutoboa? Ili ufanikiwe eneo la fedha unahitaji kujua mchezo wa fedha. …

Haya Ndiyo Majibu Mazuri Kwa Mtu Anayekuambia Huwezi

Mpendwa rafiki yangu, Kitendo cha kuzaliwa tu duniani ni tiketi ya kusema kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Mara nyingi jamii na walimu wengi mwenye mtazamo hasi hawawajengei watu uwezo wa kujiamini. Kila mtu anaweza ndiyo maana tuko hapa duniani. Kila mtu ni sehemu tone la bahari, na haya matone yetu kwa pamoja ndiyo …

Hilo Siyo Wazo Lako,Soma Hapa Kujua Wazo Lako Sahihi

Mpendwa rafiki yangu, Huwa tunajidanganya sana tuna mawazo mazuri, na muda mwingine tunajiaminisha kuwa kile ambacho tunakijua wengine hawakijui. Wazo ambalo unalo kichwani hilo siyo lako kwani yoyote anaweza kulifanyia kazi na ukashangaa mwenyewe, je hujawahi kuona sehemu ambayo wewe ulikuwa unafikiria utafanya kitu fulani ukachelewa kuchukua hatua ukaona mwenzako tayari na yeye amefanya kama …

Sababu Kuu Moja Kwanini Unaweza Kuwa Vile Unavyotaka Kuwa

Rafiki, Kuzaliwa kwako duniani ni ushindi mkubwa sana kibailojia, ulikuwa na mwenzako wengi sana lakini wewe ndiyo ukaibuka kuwa mshindi. Kitendo tu cha wewe kuzaliwa ni ushindi, ndiyo maana napenda kukuambia kuwa wewe ni mshindi na umezaliwa kushinda. Hata klabu yetu ambayo ninaiendesha kupitia mtandao wa wasapu inaitwa MIMI NI MSHINDI NA NIMEZALIWA KUSHINDA, kama …

Siri Moja Inayowasaidia Wanamafanikio Wengi Kushinda

Rafiki, Sijawahi kumsikia mtu anayekaa chini na kupanga kuwa kesho anataka kufeli. Hakuna mtu anayekaa chini na kupanga kufeli. Hata kama mtu hapendi maisha mazuri hawezi kujinunulia mabaya. Kila binadamu anapenda raha ndiyo maana anafanya ili kupata kile anachokitaka lakini pia anaepuka kufanya ili asipate maumivu fulani. Hakuna mtu anayepanga kuumia , kila mtu anajipenda …

Ili Nidhamu Yako Iwe Vizuri, Hakikisha Unakuwa Na Kitu Hiki

Mpendwa rafiki yangu, Kwa lugha rahisi tu, hakuna mafanikio yoyote bila nidhamu. Kila unayemwona amefanikiwa jua kabisa nidhamu ndiyo limetumika kama daraja la mafanikio. Nidhamu ndiyo mama wa mafanikio karibu kila eneo la maisha yetu. Hebu niambie tu, kama ingekuwa huna nidhamu ungekuwa wapi leo? Hongera sana kwa kuwa na nidhamu ya kusoma hapa katika …

Jinsi Ya Kujijengea Tabia Bora

Kila mtu anapenda kuwa na tabia bora tatizo ni namna ya kujenga tabia hiyo. Asilimia kubwa ya vitu tunavyofanya kila siku ni tabia zetu tulizojijengea. Tabia ndiyo inakuwa imetawala sehemu kubwa ya maisha yetu kila siku. Sasa unawezaje kujijengea tabia bora? Ni rahisi sana, kama unataka kujijengea tabia bora juu ya kitu fulani basi fanya …

Kitu Pekee Kitakachokutoa Hapo Ulipo

Duniani hakuna mtu masikini bali kuna akili masikini. Ukishakuwa na akili masikini lazima utakua na maisha ya shida kila siku kwa sababu akili ndiyo kitu pekee kinachokuwezesha wewe kufanya maamuzi. Sasa kama akili imelala, ni ngumu kufanya maamuzi sahihi. Ni kitu kidogo sana kitakachokusaidia wewe kutoka hapo ulipo au kubaki hapo hapo ulipo. Kushindwa au …

Tangaza Vita Dhidi Ya Kitu Hiki Na  Jiwashe Moto leo Kama Unataka Kufanikiwa

Mafanikio siyo lele mama, huwa tunaambiwa hadithi nzuri sana kutoka kwa wenzetu waliofanikiwa hapa duniani. Utasikia alianza kufanya hivi na sasa ni tajiri. Kuna upande ambao watu wengi huwa tuna usahau ni upande wa changamoto. Watu wanapitia magumu mpaka kuja kuwaona wako juu basi wametumia kazi na siyo kazi rahisi. Kama unataka kufika juu lazima …

Mtu Pekee Anayeweza Kubadilisha Maisha Yako

Huenda unasubiri miujiza ya mtu aje kubadilisha maisha yako. Kama kuna mtu shujaa duniani ambaye ana siri kubwa, uwezo ndani yako wa kufanya makubwa kabisa  basi ni binadamu. Wewe ndiyo kinara wa maisha yako, wewe ndiye mtu pekee unayeweza kubadilisha maisha yako kuliko mtu mwingine yoyote yule. Wewe ndiyo umeshika ufunguo wa mafanikio yako, hivyo …