Design a site like this with WordPress.com
Get started

Tabia Ya Kuiepuka Kufanya Katika Mahusiano Ya Ndoa

Mpendwa rafiki yangu, Ni rahisi sana kumfundisha mtu kazi lakini siyo kumfundisha mtu tabia. Ni kweli watu wanapounganika na kuishi kuwa kitu kimoja ina hitaji kazi. Kwa sababu kila mtu ana tabia zake za toke alivyo zaliwa ndiyo maana pale wanandoa wanapokuwa wanapambana kila mmoja kumrekebisha wenzako na kuona kuwa yeye ndiyo yupo sahihi kadiri …

Hiki Ndiyo Kitu Ambacho Wanandoa Wengi Wanaoga Kuambiana

Mpendwa rafiki yangu, Kwa asili hakuna kitu kibaya au kizuri. Ubaya au uzuri wa jambo unaletwa na tafsiri zetu juu ya kile kitu. hivyo basi, wako ambao wanaona ndoa ni kitu kizuri na wengine wanafikiria kinyume na hivyo. Kila mtu ana mtazamo wake na kila mtu yuko sahihi kadiri ya kile anachokiamini yeye. Ukikaa na …

Usiishi Bila Kuwa Na Kitu Hiki Katika Maisha Yako

Sisi binadamu ni viumbe wa hisia na kila binadamu yuko katika mahusiano ni mpango wa Mungu kila bindamu kuwepo katika mahusiano. Una mahusiano ya familia yako, wazazi, ndugu, nakadhalika. Mahusiano ndiyo yanafanya maisha yetu kuwa mazuri au mabaya. Kama tukiwa na fedha na mahusiano yako vizuri basi maisha yanakuwa mazuri na ya kitajiri, kwani maisha …

Hiki Ndiyo Kitu Kinachofanya Ndoa Yako Kuwa Nzuri

Rafiki, Unapokuwa umeingia katika maisha ya ndoa ni kama vile umechagua kazi ya kufanya kila siku na usipofanya hiyo kazi uliyochagua kufanya lazima mambo yataenda ndivyo sivyo. Ukiwa kwenye ndoa kila mmoja anakuwa amekabidhiwa shamba lake alime. Sasa watu wengi wanasahau mashamba yao wanajikuta wako bize na mashamba ya watu matokeo yake mashamba yao yanaota …

Kama Familia Yako Ina Matatizo Hili Hapa Ndiyo Jibu

Rafiki, Familia ndiyo msingi wa maisha ya kila binadamu. Kila mmoja wetu amezaliwa katika familia na ni mpango wa Mungu kila mmoja wetu kuzaliwa ndani ya familia. Hivi ni nani kati yetu ambaye hajazaliwa katika familia? Kila mtu kazaliwa na baba na mama hakuna aliyejileta duniani. Ukiangalia mfumo wa familia basi utajua kabisa kuna kusudi …

Hili Ndiyo Eneo Moja Pekee Ambalo Wanandoa Wengi Hulifanya Kuwa Siri Kubwa

Mpendwa rafiki, Lengo kubwa la mwasisi wa ndoa kuweka ndoa ni wana ndoa kushirikiana yaani kuwa na umoja lakini ukiangalia kusudi la mwasisi wa ndoa na wanadoa wa karne hii wanavyoishi ni vitu viwili tofauti kabisa. Na ukiangalia kwa undani wa ndoa wengi hawaishi katika umoja, hata waswahili wanasema kidole kimoja hakivunji chawa. Sehemu ambayo …

Fanya Uamuzi Huu Wa Makusudi Kabisa Katika Maisha Yako

Rafiki, Pema usijapo pema,ukipema si pema tena wasemavyo waswahili. Mama mjazamzito anatakiwa kubeba mimba yake ndani ya miezi tisa chini na zaidi ya hapo inakuwa si salama tena kwake. Unakuwa ni mzigo mkubwa tena kwake. Tuna vifungo vingi ambavyo tumevibeba ndani yetu,vinatufanya tuchoke na kuonekana kuchaka katika maisha yetu. watu wengine hawapendi kuona mtu fulani …