Design a site like this with WordPress.com
Get started

Njia Mbili Za Uhakika Za Kupata Fedha Unazotaka

Mpendwa rafiki yangu, Hakuna mtu ambaye hajui umuhimu wa fedha, fedha ni muhimu sana katika maisha yetu na hilo halina ubishi. Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni mbadilishano wa thamani, au tunaweza kusema fedha ni zao la thamani. Kwahiyo, ili uweze kupata fedha zaidi unahitaji kufanya haya yafuatayo; Kama unataka upate fedha, unatakiwa …

Mtu Yeyote Aliyefanikiwa Amekuzidi Vitu Hivi

Rafiki, Tukubali kuwa sisi binadamu tumezidiana , wako ambao wamepiga hatua kubwa katika maisha ya mafanikio na wako ambao hawajapiga hatua kubwa katika maisha yao. Kila mtu akijitathimini anajiona wazi kabisa kama amepiga hatua au la. Nafsi zetu huwa hazisemi uongo, huenda tunaonekana kwa nje tuna mafanikio makubwa lakini kwa ndani hatuna mafanikio. Mtu yeyote …

Kwanini Ni Muhimu Wewe Kuwa Tajiri

Mpendwa rafiki yangu, Kila mtu anayo haki ya kuwa tajiri, hakuna ufahari wowote unaopata pale unapokuwa maskini kwa sababu umasikini haulipi bili. Sasa kama umasikini haulipi bili unasubiri nini kuwa tajiri? Kila mtu anayo haki ya kuwa tajiri kadiri ya kitabu cha the science of getting rich, utajiri haujatengwa kwa ajili ya wachache na wengi …

Kwa Mtindo Huu Hutoweza Kupata Furaha Milele

Rafiki yangu, Imekuwa ni kawaida watu kuihusisha furaha na fedha au vitu. Utasikia kuwa nikiwa na hiki nitakuwa na furaha au nikiwa fedha nitakuwa na furaha. Kama umeshindwa kuwa na furaha wakati huna fedha hata ukiwa na fedha hutokuwa na furaha. Iko hivi rafiki, kama mtu alikuwa na roho nzuri wakati hana pesa hata akiwa …

Sehemu Pekee Ambayo Hutakiwi Kuwekeza Fedha Zako

Rafiki yangu, Katika uwekezaji unatakiwa kwanza kujifunza eneo unalotaka kuwekeza fedha zako. Watu wengi huwa hawawekezi fedha zao sahihi. Wengi wanaangalia wengine wanafanya nini nao wanafanya bila hata ya kujifunza kwa undani nini watakiwa kufanya. Unatakiwa upende fedha zako, pale ambako fedha zako umeziwekeza hakikisha macho yako pale. Ukiwekeza fedha zako bila kuzifuatilia utakuwa umeamua …

Jinsi Ya Kukabiliana Na Kupanda Kwa Gharama Za Maisha

Mpendwa rafiki yangu, Maisha ni magumu kweli, lakini ni magumu sana kwa wale ambao hawachukui hatua. Yule anayepambana kwake ni afadhali kuliko yule ambaye hapambani. Utaona maisha ni magumu pale utakapoona kuwa jukumu la maisha yako siyo lako ni la mtu mwingine. Lakini unapokubali kuwa jukumu la maisha yako ni lako unakubali kuyabeba maisha yako …

Sehemu Pekee Ambayo Hutakiwi Kuwaamini Watu Haraka

Mpendwa rafiki yangu, Hongera sana kwa hatua nzuri unazoendelea kuzipata katika maisha yako. usiache kuwa mtu wa kushukuru hata kama mambo hayaenda kama ulivyopanga, kumbuka kila jambo linatokea kwa sababu, kuwa mtu wa shukrani kwani kukosa shukrani ni kukosa fadhila. Kwenye kila baya kuna zuri ndani yake, furahia kila jambo kwenye maisha yako. Uaminifu ni …

Mambo Mawili Yanayopatikana Pale Fedha Inapokuwa Nyingi Kwenye Mzunguko

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote hilo kila mtu analijua hilo. Kila mmoja wetu anahitaji fedha kila siku ili kuendesha maisha yake. Ukiwa na fedha nyingi zitakuwezesha kupata kile unachotaka kwenye maisha yako. Lakini umasikini hauna faida yoyote kwani haukusaidii kulipa bili. Namshangaa yule mtu anayejivunia sifa ya umasikini na kuona ni …

Huyu Ndiyo Adui  Mkubwa Wa Ukarimu

Mshumaa haupotezi chochote kwa kuwasha mshumaa mwingine. Asiyepoteza haokoti ni methali ya kitanzania. Ni katika kutoa ndiyo tunapokea. Tunaalikwa kutoa sana kuliko kupokea, wako watu ambao wamekuwa kama bahari iliyokufa yaani dead sea wao kazi yao ni kupokea tu kutoka kwa wengine lakini wao hawatoi. Kuna msemo mwingine unasema, kutoa ni moyo wala siyo utajiri. …

Ungekuwa Mbali Sana Kifedha Kama Ungekuwa Unafanya Hivi  Kwenye Fedha Zako

Mpendwa rafiki yangu, Fedha ni jawabu la mambo yote. Fedha ni ulinzi wa karne ya ishirini na moja kwa sababu kila kitu tunachohitaji tunakipata kwa njia ya fedha. Maisha yetu ya kila siku yanaendeshwa na fedha. Katika mchezo wa fedha ziko kanuni ambazo ukizifuata lazima utafanikiwa kwenye eneo hili. Kila mchezo una kanuni zake, hivyo …