Chochote ambacho kinatokea sasa kwenye eneo lako la fedha, ni matokeo ya tabia ambazo umejijengea. Hakuna kinachotokea kama ajali, huwezi kupanda mahindi ukavuna mbaazi. Kila kinachotokea umekisababisha kutokea. Ni kawaida ya watu, wakishakuwa na fedha zinakuwa zinawawasha wanahakikisha kwanza wazitumie ndiyo wajisikie. Ndiyo maana watu wakiwa na hela ni rahisi kutapeliwa au kutumia hovyo kwa …
Continue reading “Haya Ndiyo Yawe Malengo Yako Ya Kwanza Ya Fedha”