Mara nyingi watu wanapenda kuonekana wako sahihi hata kama hawako sahihi. Watu wanapenda kuheshimiwa na mawazo yao. Watu wanapenda kuthaminiwa na kadiri ya kile wanachokiamini. Kama unataka kumshawishi mtu kamwe usiende kwa gia ya kumfosi akubaliane na wewe kwanza, hapana, anza kwa kukubaliana naye kuwa yuko sahihi kwenye kile anachokiamini halafu ndiyo utaweza kuweka hoja …
Category Archives: FALSAFA NA UONGOZI
Hii Ndiyo Falsafa Itakayokupa Nguvu Ya Kupambana Na Maisha Yako
Hakuna kitu chochote ambacho unaweza kukipata kwenye maisha yako ambacho hakitoki kwa wengine. Kila mmoja wetu anamtegemea mwingine kupata kile anachotaka kwenye maisha yake. Hata kama wewe unauza kitu lazima utamtafuta mtu wa kumuuzia kile unachotaka kumuuzia. Licha ya ukweli huo hapo juu, leo nataka kukufundisha falsafa ngumu kidogo itakayokwenda kukupa nguvu ya kupambana na …
Continue reading “Hii Ndiyo Falsafa Itakayokupa Nguvu Ya Kupambana Na Maisha Yako”
Jinsi Ya Kuongoza Hata Kama Huna Cheo
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu ni kiongozi wa maisha yake hilo halina ubishi. Kila mmoja anaendesha maisha yake kadiri anavyotaka yeye na siyo vinginevyo. Tukiwa na nidhamu ya kujisimamia na kujiongoza sisi wenyewe suala la kuongoza wengine litakua rahisi sana. msingi wa uongozi unaanza na mtu mwenyewe,hapo ulipo unaweza kutengeneza dunia unayotaka. Unaanza kutengeneza …
Huu Ndiyo Ubora Unaotakiwa Kuonesha Mbele Za Watu
Mpendwa rafiki yangu, Kila mmoja wetu ana ubora na uimra wake. Hakuna mtu anayeweka juhudi kila siku kutafuta udhaifu bali ubora. Kila mmoja wetu anauza ubora, ndiyo maana tunajitahidi kila siku kuwa bora. Ukiitwa kwenye usaili utaulizwa tuambie juu ya ubora wako kwa sababu unaenda pale kuuza ubora yaani ujuzi na muda wako uliokuwa nao …
Continue reading “Huu Ndiyo Ubora Unaotakiwa Kuonesha Mbele Za Watu”
Hekima Ya Kipekee Sana Unayopaswa Kuwa Nayo Kwenye Karne Ya 21
Mpendwa rafiki yangu, Kwenye dunia ya leo kila mmoja anajua kila kitu. ujio wa mitandao ya kijamii umewafanya watu kuwa mafundi wa kila kitu hata kama siyo fundi wa kitu hiko atataka achangie kitu na kutoa maoni yake juu ya kile kitu. Huwezi kujifunza kitu kutoka kwa wengine kama wewe ni mtu wa kujifanya unajua …
Continue reading “Hekima Ya Kipekee Sana Unayopaswa Kuwa Nayo Kwenye Karne Ya 21”
Katika Nafasi Yoyote Ya Uongozi Uliyonayo Hakikisha Una Kuwa Na Kitu Hiki
Mpendwa rafiki, Katika uongozi wowote ule unahitaji utu, siyo kwamba wewe ukiwa kiongozi ndiyo unatakiwa kutumia matakwa yako kama vile unavyotaka wewe. Yaani wewe uko juu ya sheria, yaani rule of law. Tunatakiwa kutumia matakwa yetu vizuri, ili tuwe na uongozi bora ndani yetu tunaalikwa kuwa na kitu hiki; Unyenyekevu, tunaalikwa kuwa na unyenyekevu katika …
Continue reading “Katika Nafasi Yoyote Ya Uongozi Uliyonayo Hakikisha Una Kuwa Na Kitu Hiki”
Kama Kila Mtu Angepewa Mamlaka Haya Dunia Ingekuwaje
Rafiki yangu, Hivi kama kila mtu angepewa mamlaka ya kusema dunia ingekuwaje? Kama kila mtu angepewa mamlaka ya kutoa amri dunia ingekuwaje? Jamii zetu zingekaa kwa amani? Tunaweza kujifunza kwenye maeneo mengi ya maisha yetu, kwa mfano, kama kila askari angekuwa anatoa amri jeshini je jeshi lingekuwaje? Kwenye kila sehemu ambayo tupo yuko mtu ambaye …
Continue reading “Kama Kila Mtu Angepewa Mamlaka Haya Dunia Ingekuwaje”