Design a site like this with WordPress.com
Get started

Usiingie Katika Biashara Kama Una Roho Hii

Mpendwa rafiki, Ni rahisi watu kuongelea biashara kwa njia ya mdomo, miaka nenda rudi, na ziko sababu nyingi zinazowafanya wasichukue hatua lakini ukizichunguza ni za uwongo, wako ambao watakuambia mtaji ndiyo shida na sababu nyingine nyingi ambazo hazina mashiko. Katika zama hizi, kutegemea kipato kimoja ni hatari sana na lolote linaweza kutokea hata katika hicho …

Huu Ndiyo Uhai Wa Biashara Yoyote Ile

Rafiki, Hata kama hufanyi biashara ila kila mtu ni mfanyabiashara. Na kila kitu tunachofanya ni biashara iwe umejiajiri au umeajiriwa kwa sababu chochote unachofanya unafanya kwa ajili ya mwingine. Utahitaji kumuazia mtu kile ulichozalisha. Kiasili hakuna kitu ambacho kinafanyika nje ya mfumo wa biashara. Kama tulivyo sisi binadamu tukikosa uhai basi maana yake hatuna maisha. …

Kwanini Watu Wengi Hawapendi Kuwekeza

Rafiki, Kuwekeza ni jambo zuri lakini pia kuwekeza kuna hatari yake pia na hii ndiyo inawafanya watu wengi kukimbia uwekezaji. Kuwekeza ni kama kitendawili kuna kupata au kukosa. Watu wengi wanaogoapa sana kuwekeza kwa sababu ya hofu ya kupoteza fedha zao. Hata wewe huenda unataka kuwekeza katika jambo fulani au kufanya biashara lakini kinachokufanya usianze …

Kama Unataka Kuuza Sana,Mfanyie Mteja Wako Kitu Hiki

Rafiki, Kama unatoa huduma yoyote ile na unategemea kulipwa kadiri ya huduma yako basi mteja ndiyo bosi wako. Bila yeye wewe huna biashara, yeye ndiyo anafanya wewe uwe na mauzo na kupitia mauzo unapata keshi ya kuweza kuendesha biashara,kazi au huduma unayotoa. Kama umeajiriwa bosi wako ndiyo mteja namba moja na kama umejiajiri mteja wako …

Kama Unataka Kuuza Sana Katika Biashara Yako Mfanye Mteja Wako Kuwa Hivi

Mpendwa rafiki yangu, Biashara yoyote ni mauzo. Bila mauzo hakuna uhai wa biashara yoyote ile. Na habari njema ni kwamba kila mmoja wetu kuna kitu anauza hivyo basi kila mtu anayetaka kupata mauzo mengi basi anatakiwa kujifunza saikolojia ya mauzo. Unaweza ukawa na bidhaa bora kweli lakini usiwe na mauzo mazuri, ili mteja aje kwako …