Design a site like this with WordPress.com
Get started

Ifahamu Falsafa Muhimu Sana Katika Maisha Yako Kutoka Kwa Mwanafalsafa Ralph Waldo Emerson

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini hujambo rafiki yangu na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Mpendwa rafiki usiache kujifunza kila siku na kuishi maisha ya maana. Maisha ya maana ni maisha yeye mchango kwa watu wengine. Kama unaweza kula kila siku hakikisha pia unalisha …

Hii Ndio Maana Halisi Ya Ongea Na Watu Uvae Viatu

Habari Mpendwa rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Kila mtu unayekutana naye ni fursa kwako ambapo unaweza kuchota kitu kipya kutoka kwake. Huwezi kuendelea bila watu katika hii dunia kwani watu ndio rasilimali muhimu sana wanaokuwezesha wewe kutimiza malengo yako. Unapokutana na rafiki …

Hii Ndio Tofauti Kubwa Kabisa Kati Ya Kusikia Na Kusikiliza

Habari mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo ? natumaini unaendelea vizuri rafiki yangu na karibu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza kwa pamoja tofauti kubwa kati ya kusikia na kusikiliza. Dunia ya sasa imejaa kelele nyingi. Na changamoto kubwa ni kupata mtu wa kukusikiliza kwani watu wengi wako bize na …

Hiki Ndio Kitu Wanachoogopa Watu Wengi Zaidi Ya Kifo

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama na karibu tena mpendwa msomaji katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Katika makala yetu ya leo tutajifunza kitu ambacho watu wanaogopa kuliko hata kifo. Rafiki, kutaka kujua ni kitu gani ambatana nami mpaka mwisho wa makala hii. Siku zote …

Haya Ndio Makosa Kumi Na Moja (11) Wanayofanya Wazazi Au Walezi Katika Malezi Ya Watoto

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vema rafiki yangu kukua kimwili,kiakili na kiroho. Hakikisha unakua katika sehemu hizo kuu tatu zitakazokuletea maisha ya furaha na mafanikio. Karibu ndugu msomaji katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza makosa wanayofanya wazazi au walezi katika malezi ya watoto. Karibu tuanze pamoja …

Hawa Ndio Watu Adimu Sana Katika Karni Hii Ya Ishirini Na Moja(21) Hapa Duniani

Habari mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini uko salama rafiki na karibu tena katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwani kila siku ni siku mpya na ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kama unaishi maisha kimafanikio na wewe ni mpambanaji huna ruhusa ya kusema kila siku ni afadhali ya jana hayo …

Hizi Ndio Athari Za Kutokuwa Makini Katika Kazi Unazofanya Kila Siku

Habari ya leo Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Karibu rafiki yangu katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza athari za kutokuwa makini katika shughuli zetu za kila siku tunazofanya. Kuwekuwa na utamaduni wa watu siku hizi kufanya kazi kimazoea ili mradi tu amalize. Utamaduni wa kulalamika unazaa wavivu wengi hatimaye …

Hii Ndio Nyumba Yako Muhimu Sana Unayopaswa Kuilinda Katika Maisha Yako Hapa Duniani

Habari Mpendwa Rafiki na msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? Natumaini unaendelea vizuri kuboresha maisha yako na kugusa maisha ya wengine. Usijiangalie wewe tu kwani maisha ya kujiangalia wewe tu ni maisha ambayo hayana maana na thamani hapa duniani. Karibu rafiki katika makala yetu ya leo ambapo leo tutajifunza nyumba muhimu unayopaswa kuilinda kuliko vitu …

Sababu Muhimu Kwanini Uwaache Waongee

Habari ya wakati huu Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtandao wa Kessy Deo? natumaini unaendelea vema Rafiki yangu na karibu katika makala yetu ya leo tuweze kujifunza kwa pamoja. Katika zama hizi kuwekuwa na kansa kubwa ya wakatisha tamaa ambao wametuzunguka katika jamii yetu. Wakatisha tamaa wageuka kuwa miiba katika maisha ya watu kazi yao …

Hizi Ndio Faida Unazoweza Kunufaika Nazo Kupitia Mtandao Huu

Habari Mpendwa Rafiki na Msomaji wa mtaalamu.net/kessydeo? Karibu Mpendwa Rafiki katika mtandao huu tuweze kujifunza kwa pamoja. Kwanini mtandao huu wa mtaalamu.net/kessydeo? Mpendwa Rafiki, Karibu katika mtandao huu na uweze kujua mambo muhimu unayoweza kunufaika nayo pamoja na huduma zetu. mtaalamu.net/kessydeo ni mtandao unaotoa mafunzo, elimu na habari kwa watanzania namna gani wanaweza kutumia fursa …