Design a site like this with WordPress.com
Get started

Jinsi Ya Kukabiliana Na Changamoto Ya Wategemezi Wengi Uliokuwa Nao

Katika jamii zetu ni ngumu watu kukosa utegemezi. Kama hutegemewi na wazazi, utategemewa na watoto, ndugu nk. Hata kama unawapenda sana wazazi na ndugu zako kiasi gani unapaswa kuwa na kiwango katika usaidizi wako. Utajikuta huendi mbele kwa sababu na wewe pia unahitaji kutengeneza maisha yako. Lakini hupaswi kulalamika kuwa huendelei kwa sababu nimekuwa na …

Njia Bora Ya Kupata Msaidizi Kwenye Biashara Yako

Kazi ya kushughulika na watu ni kazi ngumu duniani. Dunia kwa sasa inapambana kutengeneza maroboti ili yaweze kufanya zile kazi ambazo watu wanazifanya. Kwa sababu watu wanasumbua na ni pasua kichwa kweli. Mtu atakuambia sina kazi mpe kazi halafu utaona namna anavyofanya kazi zake kimazoea. Watu wanapenda kupata fedha lakini hawako tayari kuzalisha thamani ya …

Maisha Yako Yanatakiwa Yawe Hivi Kwa Wengine

Unaweza kuwa na maarifa lakini ukakosa hekima. Hekima ni matumizi ya maarifa ambayo unayo. Kwa mfano, wewe ni daktari unawashauri wagonjwa wasivute sigara wakati na wewe mwenyewe unavuta sigara. Kwenye haya maisha kujitambua ni kazi sana. Huwa napenda kusema kujitambua ni zawadi kutoka kwa Mungu. Na huwezi kuipata zawadi hii mpaka wewe mwenyewe uamue kuipata. …

Hii Ndiyo Fedha Unayopaswa Kuithamini Kuliko Fedha Zingine Zote

Ni FEDHA unayojilipa wewe mwenyewe. Hii ndiyo fedha ya utajiri wako maana inakuwa inafanya kazi kwa ajili yako. Fedha zingine zote siyo za kwako kwa sababu unawalipa wengine bili mbalimbali. Lakini hii unayojilipa ndiyo unatakiwa kuwa nayo makini sana maana hii ndiyo chanzo chako cha wewe kuwa tajiri au masikini. Fedha unayojilipa hakikisha unaiwekeza sehemu …

Hili Ndilo Eneo Unalopaswa Kuongeza Thamani

Katika kuongeza thamani tafuta eneo ambalo upatikanaji wa wanaoweza kikifanya ni wachache na uhitaji ni mkubwa mno. Angalia tatizo ambalo linawasumbua wengi lakini hakuna wengi wanaolifanyia kazi. Au angalia watu wanavyofanya kazi zao kimazoea halafu wewe njoo uzifanye kwa ubora na ubunifu. Yaani weka utii, ubunifu na kujituma. Jitofautishe na wale ambao wanatoa huduma za …

Ukipata Muda Huu, Utaweza Kufanya Mambo Makubwa Sana

Huwezi kufanya mambo makubwa kama akili yako haijatulia. Huwezi kuyajua maisha yako vizuri sana kwenye kila eneo la maisha yako kama hujapata muda wa kutulia. Ukipata muda wa kutulia kwenye maisha yako, utaweza kufanya mambo makubwa sana.Watu wanajikimbia hawataki hata kupata muda wa kujisikiliza wao wenyewe kupitia sauti zao za ndani. Hivi unajua kuwa sauti …

Ulinzi Kamili Ni…

Asubuhi njema rafiki yangu, ukawe na maadhimisho mazuri ya sabasaba leo jitakari biashara gani ya familia utakayoiachia familia yako hata ukifa badala ya kuwaachia familia yako CV ambayo itasomwa kwenye mbele ya jeneza lako huku ikiwa haiwezi kuwasaidia wale uliowaacha kulipa bili. Tengeneza njia kwenye kizazi chako ili kisije kupata shida baadaye. Unayo nafasi sasa …

Sehemu Pekee Yenye Ulinzi Kamili

Wako watu wengi utawakuta wanaongea wakisema, sehemu nzuri ya kufanyia kazi huku ukiwa na ulinzi wa kazi yako ni serikalini. Wao wanasema serikalini kuna “Job security’ tofauti na sekta binafsi. Wakiwa wana maanisha kuwa ukiwa na ajira serikalini ndiyo unakuwa na ulinzi zaidi. Lakini, ukweli ni kwamba hakuna mwenye uhuru au ulinzi wa kazi kwa …

Uko Kwenye Kundi Gani Kati Ya Haya Hapa Mawili?

Rafiki yangu nikupendae,Hakuna zama ambazo watu wamevurugwa kama zama hizi. Kumekuwa na fujo nyingi za kwenye mitandao ya kijamii kiaisi kwamba zinawafanya watu kushindwa kuwajibika kwenye majukumu yao. Watu wamekuwa wanapoteza furaha kwa sababu ya kujilinganisha na yule ambaye ameposti kitu chake kwenye mtandao. Mtu anafanya kazi kidogo baada ya muda anakimbilia kuchungulia nini kinaendelea …

Huyu Ndiye Unayepaswa Kumfikiria Sana

Mpaka sasa kuna malengo ambayo unayo na unashindwa kuyatimiza kwa sababu ya kukosa fedha. Na matatizo mengi tuliyonayo tatizo lake ni fedha, tukiwa na fedha matatizo mengi yanaisha au kutatuliwa. Kama unataka kuishi vizuri sana hapa duniani, basi usimwache KAZI kwenye maisha yako. Kazi ndiye rafiki wa kweli ambaye atakupa kile unachotaka.Haya mengine ni vitu …