Design a site like this with WordPress.com
Get started

Hawa Ndiyo Watu Ambao Hawafanyi Kazi

Watu wanaopenda wanachofanya, huwa hawafanyi kazi.

Huwezi kufanikiwa kwenye maisha kama unafanya kazi kwani kazi inachosha, kazi ni mzigo na kila mtu anapenda kukimbia kazi.

Kwenye maisha yako, utafanikiwa kama unafanya kile unachopenda kufanya.

Unapofanya kile unachopenda kufanya inakuwa siyo kazi tena bali inakuwa maisha yako inakuwa ni burudani.

Huwezi kuchoka kufanya kwa sababu ndiyo maisha yako yanategemea hicho unachofanya.

Ukiwa unapenda kile unachofanya hujui hata muda unaendaje, wakati wengine wanafurahia mapumziko wewe unafanya kazi.

Hatua ya kuchukua leo; Fanya kazi unayopenda na utakua hufanyi kazi tena bali utakua unaishi maisha unayopenda.

Kwahiyo, kwenye maisha amua kufanikiwa na chukua hatua ya kile unachotaka kuona kwenye maisha yako na utakiona kweli.
Weka kazi na utakua vile ambavyo unataka kuwa.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: