Design a site like this with WordPress.com
Get started

Inafanya Kazi Kwenye Kila Eneo La Maisha Yako

Kanuni kuu kwenye mauzo ni kwamba, ukijua kitu ambacho watu wanataka na ukawapa watakuwa tayari kukubaliana na wewe.

Sheria hii siyo tu inafanya kazi kwenye mauzo, bali inafanya kazi kwenye kila eneo la maisha.

Kwa kifupi rafiki yangu, tunaweza kusema ndiyo sheria kuu ya mahusiano ya binadamu.

Pale unapomwonyesha mtu kitu anachotaka, atakuwa tayari kufanya kila namna ili kukipata.

Sheria hii imewawezesha watu wengi kufanya makubwa na kufanikiwa. Kwa mfano, Benjamin Franklin alijua sheria hiyo na kuitumia kama sala na alijiambia kwamba kama watu wameitumia na kufanikiwa yeye ni nani mpaka asifanye hivyo?

Hata wewe tumia sheria hii maisha yako yote na itakuwezesha kupata Mafanikio makubwa.

Hatua ya kuchukua leo; Siri muhimu kwenye mauzo ni kujua kile ambacho mwingine anataka na kumsaidia kujua njia bora ya kukipata.

Kwahiyo, leo nenda kajue kile ambacho watu wengine wanakitaka na jua njia bora ya nanma ya kuwasaidia kukipata.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha  ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: