Pata picha inavyokuuma pale unapopoteza fedha, utajisikiaje?
Kila mmoja wetu kuna maumivu ambayo anayapata pale anapopoteza fedha zake.
Iko mbinu ambayo inaweza kukusaidia kutokuumia pale unapopoteza fedha.
Ukipoteza fedha chukulia kama umetoa sadaka au umemmsaidia mtu asiyejiweza kwa kufanya hilo litakuzuia usiumizwe na kupotea kwa fedha.
Bila kufanya hivyo, utajikuta unajiumiza kila wakati.
Hatua ya kuchukua leo; ukipoteza fedha chukulia kama umetoa sadaka au umemmsaidia mtu asiyejiweza.
Kwa kufanya hivyo, litakuzuia usiumizwe na kupotea kwa fedha.
MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.
Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.
Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.
Mwl. Deogratius Kessy
0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog