Design a site like this with WordPress.com
Get started

Usiogope Kukosea Pale Unapochagua Kufanya Kitu Hiki

Usiogope kukosea pale unapochagua kufanya maamuzi.

Ni bora ufanye maamuzi ukosee kuliko kutokufanya maamuzi. Kwa sababu utarekebisha makosa yako kuliko kutokufanya maamuzi kabisa.

Sijui kwa nini watu wanaogopa kufanya maamuzi, usipofanya maamuzi maana utaendelea kubaki na kile unachokiamini lakini ukifanya maamuzi itakusaidia kupata kitu kipya.

Maamuzi ndiyo yanaleta mafanikio makubwa kwenye kila eneo la maisha yetu. Usiache kufanya maamuzi pale inapohitajika kufanya maamuzi.

Hatua ya kuchukua leo; Fanya maamuzi unapokutana na hitaji la kufanya maamuzi. Na wala usiogope kufanya maamuzi.

Kwahiyo, usijiambie wacha nifikiri nitaamua baadaye.
Kama kitu ni muhimu fanya maamuzi sasa, au hutayafanya kabisa.

Kumbuka, siku zote maamuzi yanayosogezwa mbele ni maamuzi ambayo yamekuwa hayafanywi. Hivyo usisogeze mbele maamuzi.

MUHIMU;
Kama bado hujajiunga na kundi la wasapu la Mimi ni Mshindi jiunge leo kwani kuna maarifa mengi unayakosa ambayo sikushirikishi hapa.

Kujua ni maarifa gani hayo na jinsi ya kujiunga nitumie ujumbe wasapu kwa namba 0717101505. Kupata vitabu vizuri vya kujisomea kwa lugha ya kiswahili wasiliana kwamba namba 0717101505.

Rafiki Na Mwalimu Wako, Afisa Mhamasishaji Mkuu (CIO)Chief Inspiration Officer.

Mwl. Deogratius Kessy

0717101505 au 0767101504
https://kessydeo.home.blog

Leave a comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: